sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Si ndio hapo sasasema kwa wasanii wa kike mkuu, maana WAH ilifikisha hizo views ndani ya dakika chache tuu...
You're right, nilitaka kuandika hivyo pia.sema kwa wasanii wa kike mkuu, maana WAH ilifikisha hizo views ndani ya dakika chache tuu...
Ni rekodi kwa wasanii wa kike.Labda msanii wa kike...mana boss wake anarecord kubwa zaidi ya hiyo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hivi huu wimbo watu wanaupendea nini? Naona ni wimbo wa kiwango cha kawaida sana. Yaani mimi naupa 5/10. Au ndo nimeanza kuzeeka mapema hivi...!
Niliwalea, hivyo ni zamu yao kunilea.Uzeeke mara ngapi babaake. Umeshaweka mambo sawasawa lakini? Usije kuwa mzigo kwa wanao.
Kabisaa yaan wimbo mbovu sijawahi ona wallah, nashangaa promo zinavo tiririka, khaaaaaahHivi huu wimbo watu wanaupendea nini? Naona ni wimbo wa kiwango cha kawaida sana. Yaani mimi naupa 5/10. Au ndo nimeanza kuzeeka mapema hivi...!
Nani anaupaisha sasa ...wimbo huwa unapaa wenyewe tuu ukiwa mzur... Huo wimbo kajitahdi Sana kuutunga, ..... Na lazima uvunje rekodi za kutosha tuu no matter haters wapo roadWimbo wa kawaida sana nashangaa waoupaisha
Niliwalea, hivyo ni zamu yao kunilea.
π π π πHapo ndio tunapokosea, labda uliwalaza mchongoma kama wapo Big Brother. Lakini unadai na wewe wakulee, Mungu anakuona kaka. Hayo mambo ya kubebesha maisha yako kwa watu wengi sio wala nini