π π π π
Nazingua tu mkuu, hata mimba ya kusingiziwa sijabahatika bado. Bado twala sukari kidogo.
Hujui watu wanavyopenda matusi eeeh ?Hivi huu wimbo watu wanaupendea nini? Naona ni wimbo wa kiwango cha kawaida sana. Yaani mimi naupa 5/10. Au ndo nimeanza kuzeeka mapema hivi...!
Basi kama ni hivyo itakuwa ni dalili nzuri kwangu, huenda nikaiona pepo.Hujui watu wanavyopenda matusi eeeh ?
Na mie nashangaaaaah lolMnalazimisha uwe hit song wakati hata haujafikia vigezo hivyo.
Nilidhani nipo peke yangu. Baada ya kuina promo na comments mitandaoni nilazimika kuusikiliza ingawa huwa sisikikizi hizo nyimbo.Hivi huu wimbo watu wanaupendea nini? Naona ni wimbo wa kiwango cha kawaida sana. Yaani mimi naupa 5/10. Au ndo nimeanza kuzeeka mapema hivi...!
wewe jamaa kubali tu hawa hawa jamaa ni wakali.Hongera sana japo sijawahi kuusikia huo wimbo zaidi ya promo za mitandaoni.
Yani jamaa mpaka kawa hater legend wa wasafi π π anachukia siku nyingine atajifanya hawajui wenzake wanazidi kupaa.wewe jamaa kubali tu hawa hawa jamaa ni wakali.
wewe jamaa kubali tu hawa hawa jamaa ni wakali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena wale wa uswahilini,. Mashoga wa ushuani hawana muda na huo wimbo mbovu wa taarabu.Wimbo unapendwa na mashoga balaa
Huwajui ila haujawai kukosa kuchangia kwenye uzi wa wcb wasafi.Mkuu sijawahi kusikiliza na wala siujui,nimetoa hongera kwasababu watu wanausifia humu mitandaoni kwamba ni mzuri,sasa siwezi nikasema mbaya wakati siujui,ningekuwa nimeusikiliza ningetoa maoni.
Jamaa gani ambao ni wakali? Nani King Kibakuli au Konde Gand Mmasai au Waisibii? Mimi si mpenzi wa Makopokopo yenu na ndio maana miziki yenu hii mnayoisifia hata siijui halafu redio nayopenda kuisikiliza hawapigi miziki ya Waisibii nadhani ndio tatizo.(Ea Radio.)
Huwajui ila haujawai kukosa kuchangia kwenye uzi wa wcb wasafi.
Kwa hiyo hapo ulipo haumjui Diamond.
Haumjui Rayvanny.
Haumjui Mbosso.
Haumjui Zuchu.
Haumjui lavalava.
Aaisee Wasafi watakupa ugonjwa wa uchawi (kama bado ujauanza) hawakwepeki hao kama maji.