kwa taarifa ya jana pia ndo anaongoza kufuatiliwa afrika kwa wasanii wapya, boss wake mondi nae katika list ilotolewa na CNN ya wasanii wakubwa afrika anashika no 3, wcb ukiwachukia ndo wanakukera zaidi, poleni hater kwa kuuguza majeraha yasopona.
vipi yule chinga naye ?
nasikia account yake imekuwa deleted kule youtube. Hapa ndipo ilipo tofauti ya WCB na KONDE MUSIC hasa linapokuja suala la ku brand wasani wao.
all in all, hongera bibie zuchu