sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Malkia wa bongofleva Zuchu ameweka rekodi ya kukaa namba moja trend kwa wiki zaidi ya mbili.
Na masaa matano baada ya kutoa wimbo mpya umeenda moja kwa moja kushika namba mbili kwenye trend.
Kwa hiyo namba moja ni Zuchu na namba mbili ni Zuchu.
Hii haijawai kutokea Africa mashariki na kati.
Nyota siku zote uwa haijifichi.