Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Mchana wa leo msanii wa kike kutoka lebo ya wasafi amesaini mkataba wa kuwa balozi mpya wa mtandao wa zantel ambao sasahiv wanakampeni Yao ya internet yenye kasi ya 4G
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuja hapa mda si mrefu,utazani mikataba ya label zingine wameiona.Watanzania watakwambia ananyonywa , maskini tuna taabu sana
Ananyonywa hela zote zinaenda kwa dimondi halafu dimondi anazipeleka kule sijui warmer sijui warna🤣🐒🤸Watanzania watakwambia ananyonywa , maskini tuna taabu sana
Kwa hiyo kuwa balozi wa Zantel Zanzibar si sawa? auHakuna la maana. Zantel ilishanunuliwa na Tigo Tanzania. Angekua balozi wa Tigo Tanzania ingekua sawa. Upuuzi huo watu wa instagram ndo wanadanganywa! WCB sijui kwanini wapo desperate sana.
Kwa hiyo kuwa balozi wa Zantel Zanzibar si sawa? au
labda kwa kuwa Tigo wameinunua Zantel basi Zantel haipo?
Sasa sijui nani yupo desperate [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,wakati Zantel wamechagua Zuchu kuwa balozi,mwisho wa siku wewe unahesabu makuti humu JF,mwezako Zuchu ana hesabu nazi za Zantel.

Ata achaje kunyonywa wakati ana chuchuWatanzania watakwambia ananyonywa , maskini tuna taabu sana