joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Najaribu kukutoa tongotongo kwenye macho ila umegang’ania ushabiki wa kijinga. Hakuna mkataba wa maana hapo
🤣🤣🤣Najaribu kukutoa tongotongo kwenye macho ila umegang’ania ushabiki wa kijinga. Hakuna mkataba wa maana hapo
Sasa Tongotongo una mtoa nani?.
Yaani hiyo habari ya Tigo kuinunua Zantel naijua tokea 2015,nina majama zangu wapo tigo mmoja IP/MPLS Engineer,Mwengine IT Security so najua vizuri.
Unasema mkataba si wa maana umeuona?,haya nitajie wasanii waliopata mkataba wa maana na ulikuwa kiasi gani?.