Zuchu Balozi mpya wa ZANTEL

Hakuna la maana. Zantel ilishanunuliwa na Tigo Tanzania. Angekua balozi wa Tigo Tanzania ingekua sawa. Upuuzi huo watu wa instagram ndo wanadanganywa! WCB sijui kwanini wapo desperate sana.
Kwa hiyo kuwa balozi wa Zantel Zanzibar si sawa? au

labda kwa kuwa Tigo wameinunua Zantel basi Zantel haipo?

Sasa sijui nani yupo desperate 😂 😂 😂 ,wakati Zantel wamechagua Zuchu kuwa balozi,mwisho wa siku wewe unahesabu makuti humu JF,mwezako Zuchu ana hesabu nazi za Zantel.
 

Jamaa amepagawa yaan alivyoongea ni Kama zantel kampuni imekufa vile
 

Najaribu kukutoa tongotongo kwenye macho ila umegang’ania ushabiki wa kijinga. Hakuna mkataba wa maana hapo
 
Gharama za malipo ya uyo msanii tunanyonywa sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…