joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Najaribu kukutoa tongotongo kwenye macho ila umegang’ania ushabiki wa kijinga. Hakuna mkataba wa maana hapo
🤣🤣🤣Najaribu kukutoa tongotongo kwenye macho ila umegang’ania ushabiki wa kijinga. Hakuna mkataba wa maana hapo
Hiyo ni kweli kabisa mkuu labda huko mbele watugeuke.
Kumbe ni mzanzibar??View attachment 1792907
Mchana wa leo msanii wa kike kutoka lebo ya wasafi amesaini mkataba wa kuwa balozi mpya wa mtandao wa zantel ambao sasahiv wanakampeni Yao ya internet yenye kasi ya 4G
Hii hapana siwezi kuivumilia.Hiyo ni kweli kabisa mkuu labda huko mbele watugeuke.
Ila hadi sasa ndivyo vilivyo tena naweza kusema ni zaidi ya hapo kabisa kwa hizo ofa.
Tigo na Zantel zimenunuliwa na AxionHakuna la maana. Zantel ilishanunuliwa na Tigo Tanzania. Angekua balozi wa Tigo Tanzania ingekua sawa. Upuuzi huo watu wa instagram ndo wanadanganywa! WCB sijui kwanini wapo desperate sana.
Tigo na Zantel zimenunuliwa na Axion
Bora hujatuwekea bei gani umepataView attachment 1792907
Mchana wa leo msanii wa kike kutoka lebo ya wasafi amesaini mkataba wa kuwa balozi mpya wa mtandao wa zantel ambao sasahiv wanakampeni Yao ya internet yenye kasi ya 4G
MIC waliokuwa wana trade kwa jina la kibiashara la Tigo...so ni sahihi kusema Tigo imenunuliwa. Meaning kwa hapa chini usemapo neno Tigo unamaanisha MIC Ltd...ambayo kwa sasa wame exit the market na kuwaachia wamadagascar...ambao nao hawabadili chochote kwenye jina la biashara...wanaendelea hivyo hivyo.MIC Tanzania Limited ndo imenunuliwa, sio Tigo mkuu.
Kishingo upande Sana 😋Pongezi kwake.
Bora hujatuwekea bei gani umepata
My favorite network for the Internet...Huu mtandao upo kumbe