Tetesi: Zuchu & Damond , New Couple In Town...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda wote wako na domo, nasikia Mama dangote anataka mwanae amuoe zuchu, kisa et wanaendana na zuchu ana tabia nzuri , khadija kopa nae nasikia anampigia pande mwanae kwa domo.

Kusema kweli kwa level ya Diamond wanawake aliotakiwa kuwa nao it’s either Zari au Tanasha, atleast they can help him to kupandisha career yake Coz wale mademu wako na exposure na mambo ya ulimwengu wa kisasa, ila hawa wengine wanamtumia tu Domo ...

Zuchu nae sio mbaya kwa kweli, na kana sauti nzuri , kana mvuto wake wa asili ila kwa Diamond hapana kwa kweli , labda kama domo kaamua kurudi uswahilin maana ndo madem aliokua nao toka zaman huenda kawazoea , ila I cant see their relationship anywhere, huyo zuchu anachokitafuta atakipata... hao
IMG_2491.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda wote wako na domo, nasikia Mama dangote anataka mwanae amuoe zuchu, kisa et wanaendana na zuchu ana tabia nzuri , khadija kopa nae nasikia anampigia pande mwanae kwa domo.

Kusema kweli kwa level ya Diamond wanawake aliotakiwa kuwa nao it’s either Zari au Tanasha, atleast they can help him to kupandisha career yake Coz wale mademu wako na exposure na mambo ya ulimwengu wa kisasa, ila hawa wengine wanamtumia tu Domo ...

Zuchu nae sio mbaya kwa kweli, na kana sauti nzuri , kana mvuto wake wa asili ila kwa Diamond hapana kwa kweli , labda kama domo kaamua kurudi uswahilin maana ndo madem aliokua nao toka zaman huenda kawazoea , ila I cant see their relationship anywhere, huyo zuchu anachokitafuta atakipata... haoView attachment 1439360

Sent from my iPhone using JamiiForums
Another victim???? Amzalishe halafu tupilia mbali kama alivyofanya huko nyuma?????
TIME WILL TELL
 
nawa mikono vaa barakoa
 
Back
Top Bottom