joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
KIKI hii sizani kama kuna mahusiano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIKI hii sizani kama kuna mahusiano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Yule mchepuko Desgner nae je? Mji mzito kweli huu.Zuchu ujitahidi kuzungusha kiuno hadi juu ya dari, umzalie mapacha watatu labda atatulia, ila uwe makini mke mwenzio Lokole ana wivu huyo balaaaa.
Diamond anaweza kuwa the most successful artist in Tanzania but doesn't class at all. Deep down bado ni mtoto wa tandale.Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda wote wako na domo, nasikia Mama dangote anataka mwanae amuoe zuchu, kisa et wanaendana na zuchu ana tabia nzuri , khadija kopa nae nasikia anampigia pande mwanae kwa domo.
Kusema kweli kwa level ya Diamond wanawake aliotakiwa kuwa nao it’s either Zari au Tanasha, atleast they can help him to kupandisha career yake Coz wale mademu wako na exposure na mambo ya ulimwengu wa kisasa, ila hawa wengine wanamtumia tu Domo ...
Zuchu nae sio mbaya kwa kweli, na kana sauti nzuri , kana mvuto wake wa asili ila kwa Diamond hapana kwa kweli , labda kama domo kaamua kurudi uswahilin maana ndo madem aliokua nao toka zaman huenda kawazoea , ila I cant see their relationship anywhere, huyo zuchu anachokitafuta atakipata... haoView attachment 1439360
Sent from my iPhone using JamiiForums
😂😂😂😂😂😂😂Nikashangaa mbona promo limekua kubwa sana Kumbe Promo lilichagizwa na kupigwa miti
Toka kwa Zari, Hamissa, Tanasha mpaka Kwa Zuchu flat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda wote wako na domo, nasikia Mama dangote anataka mwanae amuoe zuchu, kisa et wanaendana na zuchu ana tabia nzuri , khadija kopa nae nasikia anampigia pande mwanae kwa domo.
Kusema kweli kwa level ya Diamond wanawake aliotakiwa kuwa nao it’s either Zari au Tanasha, atleast they can help him to kupandisha career yake Coz wale mademu wako na exposure na mambo ya ulimwengu wa kisasa, ila hawa wengine wanamtumia tu Domo ...
Zuchu nae sio mbaya kwa kweli, na kana sauti nzuri , kana mvuto wake wa asili ila kwa Diamond hapana kwa kweli , labda kama domo kaamua kurudi uswahilin maana ndo madem aliokua nao toka zaman huenda kawazoea , ila I cant see their relationship anywhere, huyo zuchu anachokitafuta atakipata... haoView attachment 1439360
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah, Weeeeh binamu huu ubuyu wa motoooh hivi asubuh hiii. Lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwanga tena unawanga mchana kweupe, aliye kwambia mwanaume anaoa au anadate na mwanamke ili aendeleze career yake nani? Mapenzi hayahusishwi na kitu chochote.
Kama ni kweli na harusi ikiwadia Mama D na Khadija Kopa sijui nani amemzidi mwenzake Uswahili.
Ingependeza mama D arudi Tandale awe jirani na mkwe wake pale Mwananyala.Khadija kopa shangingi la miaka hiyo , mama domo ushangingi kaanza juzi baada ya mwanae kupata pesa... sasa hiv nasikia mashoga hatar ila soon watakuja kugombana
Sent from my iPhone using JamiiForums