Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Anasema Pole zuchu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imekaa GariChibu hana ndoa.Huyo ni mzalishaji tu.Wanawake wanatamaa sana,ni waroho wa pesa,mbele ya pesa utalishwa hadi ndogo
Vita za hawa wakigombana huwa wanaacha a big mess, noisy, damages and casualties kubwa mnoKhadija kopa shangingi la miaka hiyo , mama domo ushangingi kaanza juzi baada ya mwanae kupata pesa... sasa hiv nasikia mashoga hatar ila soon watakuja kugombana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Muache aliwe banaMasikini zuchu
Za chini ya kapeti Zuchu alikuwa na nati..Mondi kwa mara ya kwanza kupata demu mpyaaaaa alizoea mifuko ya Rambo inakamuliwa ndimu
Vita za hawa wakigombana huwa wanaacha a big mess, noisy, damages and casualties kubwa mno
lkn pia kuna kitu nakiona kwa mama ndomo..
huwa naona hapendi mademu wa mwanae ambao wamemzidi na hawezi kuwa-control...
Zuchu ni chombo original kile, usifananishe na wale made in China wengine ukifukia mashimo mara mbili tu tank linaanza kuvuja oil.
Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda wote wako na domo, nasikia Mama dangote anataka mwanae amuoe zuchu, kisa et wanaendana na zuchu ana tabia nzuri , khadija kopa nae nasikia anampigia pande mwanae kwa domo.
Kusema kweli kwa level ya Diamond wanawake aliotakiwa kuwa nao it’s either Zari au Tanasha, atleast they can help him to kupandisha career yake Coz wale mademu wako na exposure na mambo ya ulimwengu wa kisasa, ila hawa wengine wanamtumia tu Domo ...
Zuchu nae sio mbaya kwa kweli, na kana sauti nzuri , kana mvuto wake wa asili ila kwa Diamond hapana kwa kweli , labda kama domo kaamua kurudi uswahilin maana ndo madem aliokua nao toka zaman huenda kawazoea , ila I cant see their relationship anywhere, huyo zuchu anachokitafuta atakipata... haoView attachment 1439360
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zuchu nae mpaka kafikia kuwa staa, lazima kachimbwa sana mbele na nyuma , wote ndo wale wale tu ..
Sent from my iPhone using JamiiForums