Tetesi: Zuchu & Damond , New Couple In Town...

Tetesi: Zuchu & Damond , New Couple In Town...

Nikashangaa mbona promo limekua kubwa sana Kumbe Promo lilichagizwa na kupigwa miti

Toka kwa Zari, Hamissa, Tanasha mpaka Kwa Zuchu flat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu haka kademu mimi sioni uzuri wake ukiondoa makeup na manywele ndo balaa kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wanasemaga eti kipenda roho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond kwa ustaa wake sjui kwanini bado anachukua chukua hivi videm vya bongo??
Ilitakiwa awe na mtoto flani mkalii kutoka Colombia uko au achukue super model kutoka viunga vya Los Angeles
 
Diamond kwa ustaa wake sjui kwanini bado anachukua chukua hivi videm vya bongo??
Ilitakiwa awe na mtoto flani mkalii kutoka Colombia uko au achukue super model kutoka viunga vya Los Angeles
Ana ustar Gani? Huyo ni Guruguja mmoja tu limbukeni hao akina Zuchu ndo Viwango Vyake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond kwa ustaa wake sjui kwanini bado anachukua chukua hivi videm vya bongo??
Ilitakiwa awe na mtoto flani mkalii kutoka Colombia uko au achukue super model kutoka viunga vya Los Angeles
Nakuunga mkono kwa asimilia 💯 ila siamini kweli diamond anaweza kutoka kimapenzi na Zuchu.
 
Yule ni Msanii lazima aangalie partner wa kuwa nae watakaesaidiana idea tofauti binamu ukizingatia Diamond hajasoma na hana exposure sana so akioa mtu ambaye hana elimu kama yeye na exposure kidogo Itakua issue

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijui unapoongelea exposure umeegemea kwa upande upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahusiano,kupenda,kupendwa hayaangalii mtu yuko level gani hao wa viwango mbona hakuwaoa Chibu ataoa Mwanamke wa kawaida sana sio hao wa kiki.
Nimekupenda bure, tupende vya kwetu wa viwango kwanza afrikast sio kitu cha kibantu by natural, alafu watoto wanapotea wanaenda mbali na bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nan anafuata
tapatalk_1588673954640.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa warumi naona kawa Matendo ya mitume
kisa zuchu kushinda nyumbanni kwa boss wake ishakuwa tatzo
kwan kiba aliwaoa akina Killi na k2ga..?
 
Back
Top Bottom