Tetesi: Zuchu & Damond , New Couple In Town...

Tetesi: Zuchu & Damond , New Couple In Town...

Yule ni Msanii lazima aangalie partner wa kuwa nae watakaesaidiana idea tofauti binamu ukizingatia Diamond hajasoma na hana exposure sana so akioa mtu ambaye hana elimu kama yeye na exposure kidogo Itakua issue


Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo dada kasoma ana degree teyari ila kuhusu kuwa na uhusiano na diamond hiyo Ni chai eisee
 
Mmh Ila mbea mimi niliona tu hii movie kwa mbali , huyu domo amsainishe msanii wa kike kwenye label yake halafu amuache thubutu... nasikia bidada kutwa kushinda kwenye hekalu la Mbez beach, muda wote wako na domo, nasikia Mama dangote anataka mwanae amuoe zuchu, kisa et wanaendana na zuchu ana tabia nzuri , khadija kopa nae nasikia anampigia pande mwanae kwa domo.

Kusema kweli kwa level ya Diamond wanawake aliotakiwa kuwa nao it’s either Zari au Tanasha, atleast they can help him to kupandisha career yake Coz wale mademu wako na exposure na mambo ya ulimwengu wa kisasa, ila hawa wengine wanamtumia tu Domo ...

Zuchu nae sio mbaya kwa kweli, na kana sauti nzuri , kana mvuto wake wa asili ila kwa Diamond hapana kwa kweli , labda kama domo kaamua kurudi uswahilin maana ndo madem aliokua nao toka zaman huenda kawazoea , ila I cant see their relationship anywhere, huyo zuchu anachokitafuta atakipata... haoView attachment 1439360


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ondoa neno TETESI. Dai kishafunua uvungu kabla Zuchu hajaanza kuimba hapo, baada ya kuomba kujiunga WCB , alifunuliwa injini.
Dai ndio inasemekana kamtoa BIKRA mtoto wa hadija kopa
 
Kama ni kweli basi Zuchu career yake is over

Sent using Jamii Forums mobile app

Career ya Rihanna ilipanda zaidi baada ya kutengenezewa skendo ya kutoka na Jay Z.
Hamisa bila kuzaa na Diamond asingepata hiyo star power, Zari the same...

Kwenye showbiz, kuongelewa vibaya au vizuri yote sawa ila kutokuongelewa ndio vibaya haswa. Usishangae hiki kitu kikakuzwa na Diamond akatengeneza pesa zaidi kwa zuchu kupitia hilo
 
ZUCHU ni jina kamili ama kifupisho cha majina ama a.k.a?
 
Yajue ya kuzingatia, ili uachane na yasiyo kuhusu

Alisikika muuza madafu akisema
 
Ondoa neno TETESI. Dai kishafunua uvungu kabla Zuchu hajaanza kuimba hapo, baada ya kuomba kujiunga WCB , alifunuliwa injini.
Dai ndio inasemekana kamtoa BIKRA mtoto wa hadija kopa

Aiseee nimecheka sana Jf noma kabisa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Lile li askari liliniboa , Sijui liliishia darasa la pili, linaongea utumbo halaf anaona sifa


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hahahaha imenibidi nicheke sana nawaza umekamatwa wewe unavalizwa barakoa na kupigwa sanitizer hahaha


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom