Tetesi: Zuchu & Damond , New Couple In Town...

Tetesi: Zuchu & Damond , New Couple In Town...

Zuchu nae mpaka kafikia kuwa staa, lazima kachimbwa sana mbele na nyuma , wote ndo wale wale tu ..

Sent from my iPhone using JamiiForums

wasanii wakike wa bongo wote nyuma hakufai kuanzia waigizaji mpaka waimbaji
 
hauvumi lakini humo, huna jipya shukuru sana uwepo wa diamond nawew unakuweka kwenye ramani, kutwa kumsema kijana wa watu hili uinekane naw e ni mjuzi wa mambo ,ni udhaifu huo,
 
Kopa sio mjinga kapeleka mtetea kupandisha apate mbegu binamu, mambo ya child’s support hayo... [emoji16][emoji16][emoji16]

Hakuna namna Zuchu akose kuliwa hapo, kama ana kizazi na mtoto atapata.... ila ndoa asahau.
 
Yaani hii ina maana kuvuliwa pich.u upate ajira ni kitu cha kawaida saana,tusiongeleane vibaya..hata kama ungekua wewe...ungefanyaje?lol.it is sad because inaendelea kumpa credits Diamond kuwa ni ma.laya/womanizer huo ndio ukweli...siku ya kum sign msichana mwingine Wasafi picha tuliyonayo ni kuwa na yeye kavuliwa pichu kabla ya kuwa signed humo..mnhh sad
 
Zuchu nae mpaka kafikia kuwa staa, lazima kachimbwa sana mbele na nyuma , wote ndo wale wale tu ..

Sent from my iPhone using JamiiForums

Whatever, lakini wale kina Zari na Wema Sepitu wanastahili kuwekwa kwenye Guiness book of record
 
Yaani hii ina maana kuvuliwa pich.u upate ajira ni kitu cha kawaida saana,tusiongeleane vibaya..hata kama ungekua wewe...ungefanyaje?lol.it is sad because inaendelea kumpa credits Diamond kuwa ni ma.laya/womanizer huo ndio ukweli...siku ya kum sign msichana mwingine Wasafi picha tuliyonayo ni kuwa na yeye kavuliwa pichu kabla ya kuwa signed humo..mnhh sad
Wewe umeongea as if Ni kweli wanamahusiano mtoa mada kasema Ni tetesi na hizo tetesi hazioneshi ushahidi au viashiria vya wao kuwa na mahusiano
 
Back
Top Bottom