Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Umesema sahihi.Hapa Afrika dini zimekaa kinafiki sana; watu wanaisema pombe ila uzinzi husemwi
Dini zinatengeneza wanafki sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema sahihi.Hapa Afrika dini zimekaa kinafiki sana; watu wanaisema pombe ila uzinzi husemwi
Siku zote pombe inaonekana haifai ila uzinzi haukemewiKwahiyo dhambi ni pombe tu? Mbona kila uchao kanaimba nyimbo za hovyo hovyo za kuhamasisha ngono?
Hivi maana yake nn?🤣"Andaa beseeee"[emoji28]
Naskia Kuna video yake ya X imevuja ...Kuna ukwel wowote ????Nampenda Zuchu ni mcha mungu haswa; hataki watu wanywe vileo lakini wadamue kuifinyia kwa ndani utamu kolea, mpatie sukari mchepuko.
Ndo naskia kwakoNaskia Kuna video yake ya X imevuja ...Kuna ukwel wowote ????
😂😂😂Pombe inajing'ata uko jamani..
Shhhhh.... Kuna kiongozi Zbar alisema live anapenda wimbo sukari.Ni bora atangaze vileo kuliko anavyo promote watu wafanye ngono.
Shhhhh.... Kuna kiongozi Zbar alisema live anapenda wimbo sukari.
Ulipaswa kwenda mbali zaidi basi. Kama msimamo wa kutotangaza pombe unatokana na imani ama maadili, huo mziki nao je? Maana japo sina hakika yeye ni imani gani,lakini, kwa imani nyingi mziki anaoufanya ni haramu pia. Tena motoni kabisa. Lakini hoja hii itakuwa na mashiko kama kukataa kwake kunatokana na imani.Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no matter how much mulla it brings.
Kumbe si ughaibuni tu ambapo watu wana uthubutu wa kukataa michongo ya pesa ndefu. Bongo tumefika pazuri. Inapendeza kuona sasa wasanii wetu wanaweza kuchagua pesa gani ya kuokota na ipi ya kuachia wengine.
Nimemsikia Mendez akisema bibiye Zuchu, kutokana na msimamo wake, hayupo tayari kukubali kazi za kutangaza vileo. Kwa mujibu wa meneja huyo, ambaye ninathubutu kumwita mwenye mafanikio zaidi kwenye soko la muziki wa Bongo, Zuchu could be pocketing big bucks from such endorsements.
Baada ya kufurahishwa na hayo, nimepata kujiuliza: msimamo huu unamaanisha pia kutofanya au kushiriki -- kwa namna yoyote ile -- kazi ambazo zinadhaminiwa na makampuni ya vileo? Vipi kuhusu matamasha yanayowezeshwa na vileo? Au hii ni yeye tu binafsi ndiye hataki kushika chupa na kutushawishi ni namna gani koo linasawijika linapokumbana na bia bariiiiiiid?
Natamani kufahamu msimamo wa Zuchu ni mpana kiasi gani. Ila kwakweli kuwa na misimamo ya namna hii mbele ya pesa ni jambo la kustahili pongezi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona kanaimba ungese ungese sasa? Angeimba dufu.