mkulungwa03
JF-Expert Member
- Apr 1, 2021
- 317
- 243
Nimeisikiliza hio ngoma one time tu nimeipenda mno , sema zuchu anaandika hatar hana mpinzani KWA kweliHuyu Zuchu anaenda kuwa kioo cha Utunzi wa Nyimbo za kuchochea maendeleo maana ana Melody Kali sana pamoja na Utunzi wa Hali ya juu, najua NANDY ataiga tu na yeye kutoa maana anatembeleaga upepo wa malikia wa afrika kwa Sasa Zuchu .
Najua watu watabisha Ila ukweli lazima usemwe maana hakuna namna kabisa ko salute kwa WCB kwa kumleta huyu kiumbe ambaye hata lady Jayden amesakimu amri