Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Habarini wana jamvi? Natumai mu wazima wa afya.
Hii imetokea Leo Zanzibar ambapo Zuchu bin kopa Kama The Best female east Africa musician alipotoa performance Kali sana pale viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar na kumuacha rahisi midomo wazi kwa furaha.
Nadiriki kusema kwanza Zuchu ndo msanii wa kike Tangu kampeni zianze kumsimamisha rais na kumchezesha huku akivishwa kofia, huku kwa wakiume Rayvanny the only BET winner akifunga milango.
Kwa maana hii hatuna budi kukubalina na ukweli kuwa Zuchu ndo new queen wa bongo flavour na Hana mpinzani kwa sasa.
Na Mwisho kabisa wimbo wa Zuchu Tanzania ya sasa ndo nyimbo Bora ya kampeni maana hajatoa remix na imebamba na kila ikipigwa rais anapagawa kuliko kifani.