Zuchu kumbe ana miaka 30

Zuchu kumbe ana miaka 30

Nawaona nawaona, nawaona ndugu zangu
Mnamaliza waganga, mnamaliza miungu
Mnamaliza mikao, mnamaliza mizungu
Malizia....🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wewe umri wa Zuchu unakuhusu Nini au ndo umekosa kazi ya kufanya eti
 
Zuchu ana miaka33 mama yake aliwahi kulopoka mwaka juzi alisema ana miaka 31 wazi wazi
 
We unadhani muziki ni soka au??unaandika nini wewe?
 
Back
Top Bottom