Tatizo ruby hajitambua bado ana ushamba fulani hivi wa kizamani.. Ila kipaji chake ni hatari sanaRuby akiacha attitude za kidiva na kuropoka.. bongo hii hakuna wa kumgusa
Yah Ruby Ni fundiRuby akiacha attitude za kidiva na kuropoka.. bongo hii hakuna wa kumgusa
Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.
Upo sahihi..ila kasikilize baadhi ya kazi za huyu zuchu...utakubali shughuli yake
Mtoa mada hana uhakika 100% but hata mimi nahisi ni zuchu ...kwa kigezo cha muda ambao ametumia kujifua ndani ya lebo hiyo almost 4 yrs..ila sio kwamba lazima awe zuchu anaweza kuwa mwingine..kama kipindi cha lavalava ilikuwa tofauti kabisa na mategemeo ya wengiSwali zuri Sana je akitambulishwa msanii tofauti na zuchu
Tatizo ruby hajitambua bado ana ushamba fulani hivi wa kizamani.. Ila kipaji chake ni hatari sana
Sahihi kabisaRuby akiacha attitude za kidiva na kuropoka.. bongo hii hakuna wa kumgusa
Aingie MariooKama WCB ingekuwa timu basi wangefanya substitution aingie Zuchu atoke Queen Darleen. Aingie mwengine atoke lavalava.
Sema huyu dada ana sauti nzuri ila jina lake haliko kiStar kama Mbosso
Hiyo sio.
Hakana post hatamoja tayari followers elfu tano, watuma nauli watupu
.Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.
.
sawa msemajiHoja yako umesema wachukue jina kubwa ndomaana nikakuambia Wasafi wanaweza kuchukua msanii hafamiki imradi tu awe na kipaji na akawa maarufu zaidi.
unadanganya hadharaniWCB wanakuza vipaji Rayvanny, Harmo na lavalava wamechukuliwa ikiwa watanzania wengi hawawajui na hawafahamiki.
Ruby akiacha attitude za kidiva na kuropoka.. bongo hii hakuna wa kumgusa