Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Ruby akiacha attitude za kidiva na kuropoka.. bongo hii hakuna wa kumgusa
Tatizo ruby hajitambua bado ana ushamba fulani hivi wa kizamani.. Ila kipaji chake ni hatari sana
 
Kama WCB ingekuwa timu basi wangefanya substitution aingie Zuchu atoke Queen Darleen. Aingie mwengine atoke lavalava.

Sema huyu dada ana sauti nzuri ila jina lake haliko kiStar kama Mbosso
 
Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.
images - 2020-04-05T060825.705.jpeg
 
Swali zuri Sana je akitambulishwa msanii tofauti na zuchu
Mtoa mada hana uhakika 100% but hata mimi nahisi ni zuchu ...kwa kigezo cha muda ambao ametumia kujifua ndani ya lebo hiyo almost 4 yrs..ila sio kwamba lazima awe zuchu anaweza kuwa mwingine..kama kipindi cha lavalava ilikuwa tofauti kabisa na mategemeo ya wengi
 
Tatizo ruby hajitambua bado ana ushamba fulani hivi wa kizamani.. Ila kipaji chake ni hatari sana

Sio ushamba .. Ruby elimu hana na ubaya anawekeza kwenye beef na watu waliomzidi kila kitu. Angejifunza kwa jide, alianza kupambana nao baada ya kuwa juu maana hata yeye alijua sio kwamba alikuwa most talented ila juhudi na system zilimpa push..

Asa ruby anategemea sana kipaji. Hapo ndo anafeli
 
Kama WCB ingekuwa timu basi wangefanya substitution aingie Zuchu atoke Queen Darleen. Aingie mwengine atoke lavalava.

Sema huyu dada ana sauti nzuri ila jina lake haliko kiStar kama Mbosso
Aingie Marioo
 
Back
Top Bottom