Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Hivi wewe uliyemfananisha Jide na huo utopolo. Unajua kwamza ngoma moja ya Jide ni sawa na career zima ya zuchu + lavalava + mbosso +rayvanny?
 
Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia.

Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi.

Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano.

Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.

Tanzania inaenda kupata malkia mpya wa bongofleva.

Hongera Wasafi hongera Tanzania.
Overrated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom