Kwahyo kwa kuwa vee saiv Hana ngoma ndio afanishwe na zuchu? Wee baba jishikilie, km n promo bas fanyen kwa ustaarabu sio kuforce Jambo lisilokuwepo, ili Hali had muhusika akiwa anafahamu Hilo. Vee yupo likizo now anafurahia mema ya uumbaji wa mola.Huyo vee money ana ngoma gani saivi!??
Nasikia wanamshindanisha na sisiem modern taarab