Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa bongo

Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa bongo

Support kubwa inafanywa na diamond .UNADHAni bila diamond huyu angefika hapo anapata promo kqenye page ya diamond na unajua diamond anafollows wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya sapoti ya boss wake...yeye mwenyewe ana talent kubwa sana ndio maana inakuwa rahisi kuwa kipenzi cha watu haswa kina dada.

Unajua kina dada wakishakupitisha kwenye muziki ushatoboa tayari ndio mana imekuwa rahsi Zuchu kukubalika na watanzania wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anajua ila tumpe mda zaidi, wanaosema anaimba taarabu acheni majungu mbona kiba anaimba qaswida style bt tunamsuport tu
 
HIYO NI NYIMBO BORA KABISA AISEE KUANZIA MASHAIRI HADI VIDEO, KUNA RADHA FULANI HIVI NAONA WCB WAMEAMUA KUTUBARIKI WATANZANIA
 
Back
Top Bottom