RAKI BIG
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 394
- 456
unahasira mzee baba povu linkutoka umetumwa ww sio bure😂😂😂😂 unajikuta mchambuzi mwenyewe mtu wa kupredict mambo sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unahasira mzee baba povu linkutoka umetumwa ww sio bure😂😂😂😂 unajikuta mchambuzi mwenyewe mtu wa kupredict mambo sio
Na macho yake ni matamu ya mahaba.Kingine napenda chuchu zake huyo zuchu
Sent from my iPhone using JamiiForums
mimi napenda kasura chake ila lile pozi la kukaza shingo ajitahidi aliache.
Ndio msanii namba moja kwa sasa.ni msanii wa kike namba moja au nyimbo yake ipo number 1 on trending kwenye youtube Tanzania ?
Kabla ya sapoti ya boss wake...yeye mwenyewe ana talent kubwa sana ndio maana inakuwa rahisi kuwa kipenzi cha watu haswa kina dada.Support kubwa inafanywa na diamond .UNADHAni bila diamond huyu angefika hapo anapata promo kqenye page ya diamond na unajua diamond anafollows wangapi
Sent using Jamii Forums mobile app
ohooo! basi sawa.
Ok basi nimetumwa, aya kaugulie maumivu kwakuwa mtoto wa kike kasifiwa.unahasira mzee baba povu linkutoka umetumwa ww sio bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajikuta mchambuzi mwenyewe mtu wa kupredict mambo sio
kana noga mnooKanaonekana katamu sana kale katoto
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uwe na heshima unajua mimi nimecheza kombolela na bi mkubwa wako.
Kashatoboa muziki wake umefika mbali tena kwa muda mfupianajua ila tumpe mda zaidi, wanaosema anaimba taarabu acheni majungu mbona kiba anaimba qaswida style bt tunamsuport tu
eeeh hivo tulia sasa nisikilize mm pia maoni yangu sio unaanza matusi.me nampenda zuchu jinsi alivo kimuziki kwangu kuna mahali bado hajanifikisha..Vanessa mdee ndo kiboko yao tu.Ok basi nimetumwa, aya kaugulie maumivu kwakuwa mtoto wa kike kasifiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app