Zuchu nguo za uchi zitakumaliza

Mara mtoto wa kiislamu mara blah blah kibao usilamu na ukristo wenyewe mliletewa tu na mnashupaza vichwa kama wendawazimu hata hapo kavaa maana zamani waafrika walitembea uchi na walifunika mbele tu na majani au magome ya miti
 
Tuliza macho yako utabaka na kuitengeneza kesi, tembelea hapo Eswatini uone the beauty of African ladies
 
Watu wana tafuta pesa wewe una angaika na dini...

Wanao pambana na dini ni wakina mwamposa, malasusa, sheikh alhaj mussa na wengineo

Yeye anatafuta ugali wake kwa njia yake... mwacheni apambane, ni sehemu ya kiki pia ili watu waendelee kumfatilia bila kuchoka, lakini kuna wanao teseka na huo ndio mtaji wake

Ukiweza mpuuze, lakini yeye anaingiza mtonyo...
 
Ulitaka avae dera ukumbini? Muziki ni kazi ya shetani, mwache binti afanye ushetani aliouchagua
 
Si kuna muislam amefungua uzi na kuwasema wakristu.
 
Freemason waliojificha kwenye kichaka cha dini ya hakhi.
 
This is too much brother mwangalie anavyohangaika hata kama ndyo muziki na fasheni hii imefikia pabaya.
 
Dini inaruhusu uchague dhambi ya kufanya na ambayo sio ya kufanya so bado yuko sahihi kuchagua kutotangaza pombe ila bado akachagua kupigwa miti na kuliwa utamu. Bado hakuna alichokosea kwa mtazamo wa kidini na kisheria za nchi.
Makubwa ni dini gani hiyo imeanza kuruhusu watu wachague dhambi za kufanya
 
Ustaarabu usingekuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…