Zuchu nguo za uchi zitakumaliza

Zuchu nguo za uchi zitakumaliza

Mara mtoto wa kiislamu mara blah blah kibao usilamu na ukristo wenyewe mliletewa tu na mnashupaza vichwa kama wendawazimu hata hapo kavaa maana zamani waafrika walitembea uchi na walifunika mbele tu na majani au magome ya miti
 
Nasikitika Sana kukuona Dada yangu mziki unavyokupoteza mpaka unavaa nguo zisizo na staha.Mbaya zaidi wewe ni muislamu na waislamu wenzako wanavaa Kwa staha.Am so Disappointed [emoji20][emoji20].Why why why unateseka kujificha ficha na hako kapochi mwangalie Diamond alivyovaa vizuri very comfortable.View attachment 2483912View attachment 2483913
Tuliza macho yako utabaka na kuitengeneza kesi, tembelea hapo Eswatini uone the beauty of African ladies
 
Watu wana tafuta pesa wewe una angaika na dini...

Wanao pambana na dini ni wakina mwamposa, malasusa, sheikh alhaj mussa na wengineo

Yeye anatafuta ugali wake kwa njia yake... mwacheni apambane, ni sehemu ya kiki pia ili watu waendelee kumfatilia bila kuchoka, lakini kuna wanao teseka na huo ndio mtaji wake

Ukiweza mpuuze, lakini yeye anaingiza mtonyo...
 
Nasikitika Sana kukuona Dada yangu mziki unavyokupoteza mpaka unavaa nguo zisizo na staha.Mbaya zaidi wewe ni muislamu na waislamu wenzako wanavaa Kwa staha.Am so Disappointed [emoji20][emoji20].Why why why unateseka kujificha ficha na hako kapochi mwangalie Diamond alivyovaa vizuri very comfortable.View attachment 2483912View attachment 2483913
Ulitaka avae dera ukumbini? Muziki ni kazi ya shetani, mwache binti afanye ushetani aliouchagua
 
Nasikitika Sana kukuona Dada yangu mziki unavyokupoteza mpaka unavaa nguo zisizo na staha.Mbaya zaidi wewe ni muislamu na waislamu wenzako wanavaa Kwa staha.Am so Disappointed [emoji20][emoji20].Why why why unateseka kujificha ficha na hako kapochi mwangalie Diamond alivyovaa vizuri very comfortable.View attachment 2483912View attachment 2483913
Si kuna muislam amefungua uzi na kuwasema wakristu.
 
Nasikitika Sana kukuona Dada yangu mziki unavyokupoteza mpaka unavaa nguo zisizo na staha.Mbaya zaidi wewe ni muislamu na waislamu wenzako wanavaa Kwa staha.Am so Disappointed [emoji20][emoji20].Why why why unateseka kujificha ficha na hako kapochi mwangalie Diamond alivyovaa vizuri very comfortable.View attachment 2483912View attachment 2483913
Freemason waliojificha kwenye kichaka cha dini ya hakhi.
 
Eswatini wao kwenye sherehe huvaa namna hii
IMG_1130.jpg

IMG_1131.jpg
 
Wewe vaa za staha, yeye muache avae nguo anazotaka yeye.

Wewe ukivaa za staha inatosha.

Usitake watu waishi wewe unavyotaka, wapangie maisha unaowalisha na kuwavisha. Mtu humlishi, humvishi na huna msaada wowote kwake halafu unataka umpangie avae nini, avaeje.

Huo uislamu wewe unaweza kuufanya ama kuutekeleza yeye muache atekeleze anavyoona inamfaa. Kwani amekwambia anataka kwenda mbinguni?
This is too much brother mwangalie anavyohangaika hata kama ndyo muziki na fasheni hii imefikia pabaya.
 
Dini inaruhusu uchague dhambi ya kufanya na ambayo sio ya kufanya so bado yuko sahihi kuchagua kutotangaza pombe ila bado akachagua kupigwa miti na kuliwa utamu. Bado hakuna alichokosea kwa mtazamo wa kidini na kisheria za nchi.
Makubwa ni dini gani hiyo imeanza kuruhusu watu wachague dhambi za kufanya
 
Wewe vaa za staha, yeye muache avae nguo anazotaka yeye.

Wewe ukivaa za staha inatosha.

Usitake watu waishi wewe unavyotaka, wapangie maisha unaowalisha na kuwavisha. Mtu humlishi, humvishi na huna msaada wowote kwake halafu unataka umpangie avae nini, avaeje.

Huo uislamu wewe unaweza kuufanya ama kuutekeleza yeye muache atekeleze anavyoona inamfaa. Kwani amekwambia anataka kwenda mbinguni?
Ustaarabu usingekuwepo.
 
Back
Top Bottom