Zuchu nguo za uchi zitakumaliza

Kumbuka huyu alikataa kufanya tangazo la pombe kisa ye Muslim pombe kwake haramu.

Ila hicho alichokivaa ni kitu gani?
Kila mtu mtenda dhambi ila kila mtu ana dhambi zake ambazo hatendi.
Mfano watu wengi ni wazinifu ikiwemo mimi lakini kwa mparange hatwendi tunasema ni dhambi. Ila hata huko kwingine ni dhambi.
Kuna waislamu wanakunywa pombe ila kitimoto katu hawagusi.
Kila mtu ana dhambi zake ambazo piga ua hafanyi.
Basi huenda yeye kwake mambo ya pombe ndipo kaweka hiyo limit.
 
Watanzania kila mtu sheikh, mchungaji, kasisi, mshauri na mfundishaji.

Na ikitokea zuchu kufail kimuziki huyu huyu aliyeanzisha mada ndiye atawahi kuandika "hatimaye zuchu kafulia" shame you!.
 
Nguo kaleta mzungu, sisi Waafrika pamba zetu ni yale majani ya mikeka na kamba za migomba, wanawake nyonyo sometimes na takoo vyote vipo nje nje
Umenena.
Hivi sasa tunajifanya kufahamu kuvaa kuliko waliotufundisha kuvaa.
 
Mwenye kuvaa ni yeye
Mwenye kukereka ni wewe.

Mnajua sana kuhukumu
 
Waislam wepi hao wanaovaa nguo za staa?"waislam"sio kiumbe mpaka wavae nguo,
Ukitaka hao"waislam",wafate yaliyoandikwa kwenye msaafu,kutakuwa hakuna WCB,Mond,Ali kiba,Mzee yusuph,na taarabu,maana dini yenu imehalamisha muziki.
Binti kapiga nguo saafi,yupo ukumbini,kwenye starehe,sasa ukitaka avae hijabu,buibui,na afunike macho kama ninja?
Watu wameishatoka huko madame,hata watu wa arabia,uajemi,mabinti wengi wanapinga kuvaa mahijabu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaa, japo umeongea ukweli.
 
Ni maamuzi yake yeye, wala hata sio shida zangu
Kwa kifupii hanistui. Lol
 
Kumbuka huyu alikataa kufanya tangazo la pombe kisa ye Muslim pombe kwake haramu.

Ila hicho alichokivaa ni kitu gani?
Zanzibar na Mombasa ni sehemu zenye imani kali ya kiislam lakin kuna machoko kibao na wateja wao ni miongoni mwa hao hao wenye imani kali,Funzo ni kwamba Dini ni "Falsafa". ukiwa na ubongo wa sisimizi utakua unakurupuka daily kuhukumu matendo ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…