Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Kila mtu mtenda dhambi ila kila mtu ana dhambi zake ambazo hatendi.Kumbuka huyu alikataa kufanya tangazo la pombe kisa ye Muslim pombe kwake haramu.
Ila hicho alichokivaa ni kitu gani?
Mfano watu wengi ni wazinifu ikiwemo mimi lakini kwa mparange hatwendi tunasema ni dhambi. Ila hata huko kwingine ni dhambi.
Kuna waislamu wanakunywa pombe ila kitimoto katu hawagusi.
Kila mtu ana dhambi zake ambazo piga ua hafanyi.
Basi huenda yeye kwake mambo ya pombe ndipo kaweka hiyo limit.