Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mashoga ni wazuri kuliko huyo Zuhuraa, acha kuwadharau mashoga.Mtu mwenyewe mifupa mitupu, hana tako wala ziwa. Hata akitembea uchi hakuna mvuto wowote. Atakaepigia puchu picha ya uchi ya Zuchu hashindwi kutembea hata na shoga.
Vuta picha kajala angevaa nguo hiyo, hiyo ashki yake kwa watazamaji.
Evil geniusWewe vaa za staha, yeye muache avae nguo anazotaka yeye.
Wewe ukivaa za staha inatosha.
Usitake watu waishi wewe unavyotaka, wapangie maisha unaowalisha na kuwavisha. Mtu humlishi, humvishi na huna msaada wowote kwake halafu unataka umpangie avae nini, avaeje.
Huo uislamu wewe unaweza kuufanya ama kuutekeleza yeye muache atekeleze anavyoona inamfaa. Kwani amekwambia anataka kwenda mbinguni?
Akikua ataachaNi msanii wa nyimbo za kidunia na umri wake unamruhusu...
Au sio.Acha atuoneshe tu, kula hatuwezi na kuona tushindwe?
mbona sijakiona, nyie mmekionea wap?Kitumbua nje-nje
siwezi kukubishia maana sina uzoefu na mashoga, nilichokisema ni kwa mujibu wa wale wachache mfano wa Kaoge niliyowaona.Kuna mashoga ni wazuri kuliko huyo Zuhuraa, acha kuwadharau mashoga.
YahkeeeeNi maamuzi yake yeye, wala hata sio shida zangu
Kwa kifupii hanistui. Lol
Mbona wewe huvutii hao wanaume unaowataka.Kuna mashoga ni wazuri kuliko huyo Zuhuraa, acha kuwadharau mashoga.
Still bado usimpangie cha kufanya, kakataa tangazo la bia lakini kaamua kuvaa hivyo. It's her choice.Kumbuka huyu alikataa kufanya tangazo la pombe kisa ye Muslim pombe kwake haramu.
Ila hicho alichokivaa ni kitu gani?
SawaStill bado usimpangie cha kufanya, kakataa tangazo la bia lakini kaamua kuvaa hivyo. It's her choice.
Waislamu wangapi wako kwenye music industry na hiyo miziki mnadai ni haramu,vipi kuhusu tattoo zao hilo mbona haulioni?
Hawa wamama wanaoimba taarabu na majority ni Wazanzibari je hiyo si haramu? Mbona hauwasemi kama umeamua kuchagulia watu namna ya kuishi maisha yao.
Ukimaliza ushambulie waganga wa kienyeji('wa kitabu' kama wanavyoitwa) ili muendelezo wa kupangia watu jinsi ya kuishi maisha yao uzidi kushamiri.
Kwan wanawake wote ni wazuri? Ndo hivyo hata kwenye mashoga kuna wabayaa na wazurii.siwezi kukubishia maana sina uzoefu na mashoga, nilichokisema ni kwa mujibu wa wale wachache mfano wa Kaoge niliyowaona.
Sina sababu ya kumdharau mtu anaetuimia nyero yake mwenyewe kujistarehesha. Point of emphasis here ni ukomavu wa Zuchu mithili ya mwanaume na si ubaya wala uzuri wa mashoga.