Zuchu nguo za uchi zitakumaliza

Zuchu nguo za uchi zitakumaliza

Mbona wewe huvutii hao wanaume unaowataka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka wa 7 kwenye mahusianoo, afu sivutiii? Uko timamu weeee?
Kwa kifupi nawavutiaaaa had wanajutaa kunionaa, afu nawapiga cha mbavu. Aiiiiiih
 
Wewe vaa za staha, yeye muache avae nguo anazotaka yeye.

Wewe ukivaa za staha inatosha.

Usitake watu waishi wewe unavyotaka, wapangie maisha unaowalisha na kuwavisha. Mtu humlishi, humvishi na huna msaada wowote kwake halafu unataka umpangie avae nini, avaeje.

Huo uislamu wewe unaweza kuufanya ama kuutekeleza yeye muache atekeleze anavyoona inamfaa. Kwani amekwambia anataka kwenda mbinguni?
Uzi ufungwe, umemaliza kila kitu.
 
Kumbuka huyu alikataa kufanya tangazo la pombe kisa ye Muslim pombe kwake haramu.

Ila hicho alichokivaa ni kitu gani?

wagalatia kwanini muanteseka na waislamu kususia pombe? kwanini munaumia kama hivo? Huwa munatafuta sababu tu kutoa joto lenu
 
Kwan wanawake wote ni wazuri? Ndo hivyo hata kwenye mashoga kuna wabayaa na wazurii.
Kwenye wanawake sina shaka juu ya uzuri na ubaya wao.

Huko kwingine nitabaki kuamini kuwa mashoga wote ni wabaya mpaka pale nitakapomuona mzuri, ila kama specimen ya mashoga ni kina Aggrey na Kaoge basi I stand by my beliefs and it's not open for further debate; with all due respect that is.
 
Waislamu ni wanafiki na wana matatizo ya akili, huyu fala c ndo alisema aligoma kufanya tangazo la pombe kisa kwa Uislamu ni haramu.
Ndio kwake (yeye) pombe haramu Ila kukaa uchi sio haramu, kila mtu na mapendeleo yake hata Mimi km sipendi pombe huwezi nipa tangazo la pombe nikafanya
 
Back
Top Bottom