kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Huyo diamond ndio jinga fulani mwenye kutaka zuchu avae hivyo. Mwenyewe hawi uchi ila kusuka nywele na kuvaa hereni kama demu.Nasikitika Sana kukuona Dada yangu mziki unavyokupoteza mpaka unavaa nguo zisizo na staha.
Mbaya zaidi wewe ni muislamu na waislamu wenzako wanavaa Kwa staha. Am so Disappointed .
Why why why unateseka kujificha ficha na hako kapochi mwangalie Diamond alivyovaa vizuri very comfortable.
View attachment 2483912View attachment 2483913
Uduni wa kuelimika kwa hivyo wanaiga mastaa ws kimagharibi.