Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Zuchu hajajichubua, hajaweka kalio la plastic, hajachora tatoo, havuti shisha wala kunywa pombe
Ukimpata kama yeye Oa chap masta
Ukimpata kama yeye Oa chap masta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti anasema tule nauli zenu mkitumaWife material gani anaimba matusi?
Kwa maadili ya kiislam hakuna mke hapo.
Labda matusi ndo kipaumbele chake kwenye ndoa 😂😂Wife material gani anaimba matusi?
Kwa maadili ya kiislam hakuna mke hapo.
umesikilizaga mchumba ya nandy?Kuna ile kauli alisema "...kwangu hatoki hats mmpe mk..."
Huenda maana hako kadada kakiwa live kanatukana balaa.Labda matusi ndo kipaumbele chake kwenye ndoa 😂😂
Hapanaumesikilizaga mchumba ya nandy?
😂Kuna ile kauli alisema "...kwangu hatoki hats mmpe mk..."
I wish nikue msaniiHuenda maana hako kadada kakiwa live kanatukana balaa.
Wa sanaa gani?I wish nikue msanii
kuna kauli kama hiyo piaHapana
Matusi😂😎Wa sanaa gani?