Zuchu ni true definition ya wife material

Zuchu ni true definition ya wife material

Zuchu hajajichubua, hajaweka kalio la plastic, hajachora tatoo, havuti shisha wala kunywa pombe

Ukimpata kama yeye Oa chap masta


View attachment 3014872
Haya ndiyo maangamizi na viama vyetu wanaume!

Mwanamke wa kuoa anaangaliwa kwa vigezo hivyo tu?

Kumbe ndiyo maana kuna kundi la malaya sasa hivi hawajichubui wala kuvaa chochote cha bandia mwilini mwao, wao ni mafuta, lotion nguo za vitenge na mishanga kiuononi.

Wanapaparikiwa na wanaume kuwa hawa ni 'natural' na wanauza balaa!

Kwa akili kama hizi, kumbe mwanamke akijibadili kidogo tu, waweza mtoa danguroni na ukaoa!
 
Kuna ule wimbo kaimba na darasa huwa na vibe nao sana.Mengine atajijua na usenge wake.
 
Back
Top Bottom