Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Kaden kazuri nyimbo nzuri acha zako!Sijakataa kujua, nilichosema u [emoji146] wa Bongo flavah,
Kwani wimbo wenyewe mbovu, promoh tyuuh. Aaaaah
Sema bg up kwa aliemwandikiaNa mm nimetoka kuskiliza nyimbo yake ya raha daah anajua kuandika[emoji1316][emoji1316]
🤣🤣🤣🤣🤣Wimbo mzuri sema siwezi kuuimba sasa
Diamond hawez chukua mtu anayeandikiwa , moja ya sababu ya kutomrelease Nandi , mana Nandi kuandika sio mzuri Sana , .... Ukitaka usainiwe WCB silaha kubwa ni kujua kuandika Mashairi ....Sema bg up kwa aliemwandikia
Nyimbo..... Ajiandikie c angetamba TZ, yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo nakuongezea na 3 zingine ni hataree
Zuchu-Hakuna Kulala
2:Zuchu Ft Mboso-Ashua
3:Zuchu Raha...
Hutojutia mkuu...lakin kuna bonus nakupa uende nayo
Rayvanny ft Zuchu-Number One:
Akili yangu inazidi kushawishika kwamba mimi nitakua ni Alien tu. Maana hata sielewi mnachoongelea humuHaka katoto mwanzoni nlikua nakchukulia POA Ila hii ngoma ya Sukari aisee Ni [emoji91] [emoji91], dzain kapita Kama maua Sama na iokote. Bravo
Hiyo ashua Ni noma Sana hata me binafsi nairudia Mara nyingi imeshiba Sana hiyo ngoma.Hii Ashua ndio nairudia mpaka nasema kaniroga nini
Number one na sukarii[emoji91][emoji91]
Nilimdharau chuchu yupo vizuri