Zuchu- Sukari....!!!

Zuchu- Sukari....!!!

zuchu ananyimbo kali tatu tu RAHA ,CHECHE na NISAMEHE hizi nyengine zote chini ya kiwango
 
Mkuu hapo nakuongezea na 3 zingine ni hataree

Zuchu-Hakuna Kulala

2:Zuchu Ft Mboso-Ashua

3:Zuchu Raha...

Hutojutia mkuu...lakin kuna bonus nakupa uende nayo

Rayvanny ft Zuchu-Number One:

Hii Ashua ndio nairudia mpaka nasema kaniroga nini
Number one na sukarii[emoji91][emoji91]
Nilimdharau chuchu yupo vizuri
 
Haka katoto mwanzoni nlikua nakchukulia POA Ila hii ngoma ya Sukari aisee Ni [emoji91] [emoji91], dzain kapita Kama maua Sama na iokote. Bravo

Akili yangu inazidi kushawishika kwamba mimi nitakua ni Alien tu. Maana hata sielewi mnachoongelea humu
 
Hii Ashua ndio nairudia mpaka nasema kaniroga nini
Number one na sukarii[emoji91][emoji91]
Nilimdharau chuchu yupo vizuri
Hiyo ashua Ni noma Sana hata me binafsi nairudia Mara nyingi imeshiba Sana hiyo ngoma.
 
Back
Top Bottom