sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu.
Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani.
Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond.
Umegombana na wadada wa mjini na wanakuchukia sana wanasema umemdhibiti Diamond wao kwa sasa hawapati zile favour kama uko nyuma.
Baadhi ya watangazaji wa Wasafi amuelewani akiwemo yule marehemu, Juma lokole na Aliya. Hauwezi kupromoti kazi zako kipindi cha mchana na sasa ushaingia mgogoro na mashamsham.
Kwenye lebo nimesikia malalamiko pia wanasema unapendelewa.
Wasanii wenzio wa kike ndio usiseme wanakuchukia mpaka basi.
MaEx wa Diamond na mitandao yote inakushambulia kila siku wakiongozwa na Mange.
Hizi vita zote usingeziona kama haungekuwa na mahusiano na Diamond.
Najua unachukia kuitwa king'ang'anizi sababu kwenye hali halisi haipo hivyo ipo kinyume, unataka ufanywe kama malkia lakini pia showbiz haitaki hivyo.
Umebaki njia panda hujui ufanye nini .
Lakini huo ndio ukubwa wa Diamond , ukideti na Diamond huwezi kuwa na amani uwezi kuwa na raha yeye ndio central of attention kwenye entertainment industry kila mtu anajaribu kumuwin na wakiona wewe ndio unaweka usiku lazima unyooshwe.
Nakushauri tulia relax, hayo ndio mapenzi ya kisupastaa yana furaha kidogo sana. Zaidi ya hapo ni vita na wewe kwa kuwa una roho nyepesi unapanic mapema utapata shida sana.
Mara utishie kujitoa kwenye lebo mara utake kushtaki kampuni ilo wenge lote sababu haukujiandaa na bullying mambo haya uyawezi.
Shida yako pia unataka vyote, maisha ya kisupastaa na maisha ya kizanzibar wakati hayaendi pamoja.
Relax Zuchu upo vitani lazima ujue kupigana vita zako usiweke hasira mbele. Usupastaa ni mzigo wa miba.