Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

Hao ndio wabongo wanalazimisha mawazo yao binafsi ya fanane na wengine unaweza ukakuta husicho kipenda ww wenzio wana kikimbilia.

Ila uzuri mziki wa siku hizi kama kitu kizuri utakiona kwenye views na hasa streaming kwenye digital platforms kwani huko ndipo kwenye ukweli.So hizo nyingine zinaweza kuwa chuki au mitizamo yako binafsi.
 
Kwenye hili game la mziki huwezi kutoa ngoma kali na ikapendwa na watu wote kwa muda wote,kuna kipindi lazima utaboronga tu hata hao wasanii unaowakubali naamini pia wana ngoma za hovyo so ni kawaida tu kama vle kubet tu leo unachana na kesho unamkanda kanji
 
Hao ndio wabongo wanalazimisha mawazo yao binafsi ya fanane na wengine unaweza ukakuta husicho kipenda ww wenzio wana kikimbilia.

Ila uzuri mziki wa siku hizi kama kitu kizuri utakiona kwenye views na hasa streaming kwenye digital platforms kwani huko ndipo kwenye ukweli.So hizo nyingine zinaweza kuwa chuki au mitizamo yako binafsi.
YANI WAMAKONDE WANNE NDO WANATAKA JAMII NZIMA IAMINI WIMBO MBAYA

TATIZO WANAZEEKA NA BADO WANATAKA NYIMBK ZA VIJANA
 
Back
Top Bottom