EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Kila siku wana-copy Afrika ya kusini, content ni ile ile (mapenzi), kujisifu kwa sana kwenye nyimbo zao.Kwa Nini?mbona vijana wanajitahidi sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku wana-copy Afrika ya kusini, content ni ile ile (mapenzi), kujisifu kwa sana kwenye nyimbo zao.Kwa Nini?mbona vijana wanajitahidi sana?
Acha kukurupuka aseee....Mbona Konde anawanyima Raha sana watu,mi namuongwlea Zuchu mnamwingiza mmakonde wa watu...Sikiliza mwenzio akili yangu haimsujudii mtu,Konde akitoa wimbo mzuri nimo,Zuchu, Diamond,Kiba ,Marioo, yeyote atayetoa wimbo mzuri naupenda ,akizingua siupendi......Mimi nampenda zangu J Melody nyie na matimu yenu mtajijuYANI WAMAKONDE WANNE NDO WANATAKA JAMII NZIMA IAMINI WIMBO MBAYA
TATIZO WANAZEEKA NA BADO WANATAKA NYIMBK ZA VIJANA
Sina mood ya kubishana na mtu,...Wimbo sijaupenda,pita hivi👉👉👉👉Kwa hiyo ww unawakilisha mtizamo wa jamii nzima?au kuna sehemu nimekulazimisha uupende.
Hii ni Celebrity Forum, umemzungumzia Zuchu kama Public Figure, so nimetoa mawazo yangu binafsi.
Na haibadilishi mtizamo wako binafsi/chuki sio wa jamii nzima,husicho kipenda ww kuna wengine wata kikimbilia.
Ila kama hii thread ulimwandikia Zuchu ni vyema ungemtumia kwenye acc zake binafsi za Social network, as long umeweka humu JF tegemea + na vilevile - comments,sababu JF ni jukwaa la jamii nzima,kutoa mitizamo pindi mada iletapo.
Uzuri huwaga sipendi kutukana wanawake JF japo lugha uliyo itumia sikuipenda,ila bado na kuheshim.
Kuto upenda wimbo ni uhuru wako binafsi wa kutoa maoni umeutumia,kama watakavyo utumia wengineo wengi kuukubali,kustream na kuviews.Sina mood ya kubishana na mtu,...Wimbo sijaupenda,pita hivi👉👉👉👉
Unaaga chama?samahani
samahani tena
ile picha yako bado naitumia
mbona ndiko naitumia chamani ?Unaaga chama?
Tuwaombee waache eneza upumbavuHana jipya yeye na bwana ake.
Utajua mwenyewe unayechukulia maisha serious utasema unakula kwa Zuchu,,,weka hapa kituo,au usiweke I have nothing to looseKuto upenda wimbo ni uhuru wako binafsi wa kutoa maoni umeutumia,kama watakavyo utumia wengineo wengi kuukubali,kustream na kuviews.
Uzuri JF sio mali yako binafsi, bado nipo sana sehemu zote mpaka kwenye hii thread nimeweka kituo.
Hata yeye nampenda sana,ila wimbo huu kanichanganyia sukari na chumvi😥Kwenye hili game la mziki huwezi kutoa ngoma kali na ikapendwa na watu wote kwa muda wote,kuna kipindi lazima utaboronga tu hata hao wasanii unaowakubali naamini pia wana ngoma za hovyo so ni kawaida tu kama vle kubet tu leo unachana na kesho unamkanda kanji
Still huo unabaki kuwa ni mtizamo wako, mimi JF napatimua kama sehemu ya kupoteza mda,kujifunza na kujiburudisha na ndio maana hata hii thread yako ni sehemu tu ya burudani.Utajua mwenyewe unayechukulia maisha serious utasema unakula kwa Zuchu,,,weka hapa kituo,au usiweke I have nothing to loose
Ungejua hii ni sehemu ya burudani usingeivamia Kwa kupaniki .Still huo unabaki kuwa ni mtizamo wako, mimi JF napatimua kama sehemu ya kupoteza mda,kujifunza na kujiburudisha na ndio maana hata hii thread yako ni sehemu tu ya burudani.
Tunarudi kulekule wp nimepanick?Ungejua hii ni sehemu ya burudani usingeivamia Kwa kupaniki .