Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

Mlaaniwe..
Ndo mila zetu, hakuna hata mmoja aso namna hio huku.
Kuna kipindi wachache wasotaka wanawake wenzao wakaja Tanganyika kumuomba Rais enzi hizo Kikwete kwamba aingilie kwati maana zenji usipo saga kukoboa kazi hupati🤣🤣 laaana wallah🤣🤣
 
Kuna siku nimewaza mbona hawa wanaijeria wanatoa mangoma makali makali kila kukicha,angalia kama Rush ya Ayra haiitaji nguvu kwenda,Rema na Calm down imeenda mpka sio poa!
Njoo hapa kwetu,ukikosoa huo ujinga wa akina Zuchu utaambiwa una chuki!
Hii nchi ngumu sana kaka...Ukikosoa nyimbo utaitwa mmakonde.🙄
 
Kuna siku nimewaza mbona hawa wanaijeria wanatoa mangoma makali makali kila kukicha,angalia kama Rush ya Ayra haiitaji nguvu kwenda,Rema na Calm down imeenda mpka sio poa!
Njoo hapa kwetu,ukikosoa huo ujinga wa akina Zuchu utaambiwa una chuki!
Bora hata na wewe umeona hilo
Nyimbo za kina Zuchu Co& zitabaki kupigwa kwenye kipaimara na graduation za form 4 tuu
 
Kuna siku nimewaza mbona hawa wanaijeria wanatoa mangoma makali makali kila kukicha,angalia kama Rush ya Ayra haiitaji nguvu kwenda,Rema na Calm down imeenda mpka sio poa!
Njoo hapa kwetu,ukikosoa huo ujinga wa akina Zuchu utaambiwa una chuki!
nyimbo zetu mbaya sana, wanigeria wajanja wanachukua style za wazungu wanachanganya na zao, ndo mziki wa afrobeats, sasa naona wabongo wameanza kugundua ndo maana kina mondi wanaibia sana nigeria, mfano ukiangalia hii enjoy ya jux na mondi wamecopy sana nyimbo ya nigeria inaitwa who is your guy
 
Wapunguze kuigaiga basi,wanatia aibu
 
Back
Top Bottom