Hii issue ya umri inavyotumika kuhalalisha upuuzi mwingi uliopo kwenye music & media industry [emoji30][emoji30]
Cha kushangaza kwenye bongo series kama juakali, hakuna mtu anaesema kuwa hizi series ni za vijana na sio wazee yet zinafanikiwa.
Tukubaliane, muziki wa bongo ni pure biashara na kwa sasa bubble gum music inayoweza kutrend kwenye social media ndio inayouza. Wasafi wanalijua hili ndio maana wanawapa watu kitu wanachoona kinawafaa ila haimaanishi hawawezi tengeneza muziki watakaoweza kuuza globally kuliko kuwa copy cats wa naija na SA.. Kama uliiona show ya Zuchu Afrimma, utakubaliana nami kuwa copy zake za genre zote hazikuweza leta amsha amsha hadi alipoimba singeri ya nyumba ndogo, you see!!!...
Nadhani Wasafi kiufupi wainvest kwenye kutengeneza original sound na hapa ndipo Diamond ataweza acha legacy ya ukweli maana hadi sasa... Yeye ni commercial artist ila musical influence kwa bongo genre ni almost sifuri na hii sio sifa ya legends wakubwa duniani