joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sasa nani kapanick? Wewe ndiye mpuuzi uliye amua kureply comments ya mwanaume,si ungepita na kuachana nayo ni nyege zako za makalioni ndizo zilikufanya ureply comments na uzuri siku-mprovoke wala kumtukana mleta mada,ila nyege zako wewe ndizo zimekufanya ureply comment yangu.We chawa wa zuchu unawashwa matackle nini?
Unasema jukwaa huru afu mi nimetoa maoni yangu unapanic wapi nimesema nyimbo ni mbovu, wapi nimeitaja hiyo nyimbo ya Zuchu kwenye comment,
Mi nimezungumzia mijimbo ya kisasa kiujumla ndo ilivyo, kufanyiwa promo kibongobongo hiyo iko wazi kama nyeti ya mbuzi.
Eti najishtukia kusikiliza 90s na 20s, naskiliza ndio kwa sababu vibe yangu ipo huko, kiufupi playlist yangu haina hizo nyimbo zenu za kis*nge na wala sizifuatilii.
Punguza shobo kwa mtu usiyemjua au zuchu mke mwenza.
Sasa swala la promo mbona kawaida mziki biashara na mwenye biashara yake ndiye anaye amua either aipeleke kimya kimya au promo au kwa akili yako fupi kufanya promo ni kosa?
Asake,Fireboy na wasanii wote wa YBNL ya Olamide wakitoa nyimbo wanalipia promo mbona kawaida na msanii hajakataza kutoa promo.
Wewe comments yangu kama ingekuwa kuwa inakukera ungeipita na si kuanza kutukana,husinge pungukiwa na kitu.
Husi shobokee comment za wanaume kama zina kukera au ndio Manula katoka,sema kuna member wapo humu jitangaze wakale jicho.