Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]Ingekua binadam wote ni kama Mimi, baas wasanii wangejipanga Kwa kilimo au ajira zingene mana wengepata taabu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]Ingekua binadam wote ni kama Mimi, baas wasanii wangejipanga Kwa kilimo au ajira zingene mana wengepata taabu sana.
BoomplayWapi huko mkuuu???
Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo.
Hivyo tu.
Hujasikia waziri wajinsia na watoto akiuzungumzia huu ushubwada?hujasikia ulivyosababisha watoto wakatazwe kuhudhuria maharusini usiku?kwani hizo radio ndio unaziona zina akili timamu?mibange mitupuKuna 2 eidha Una miaka mingi kuanzia 35+ halafu unataka uishi kama Una miaka 18.
Pili ujue soko la muziki linavyoenda.
Nyimbo inapigwa kila mahali mpaka maharusini.
Top 10 zote radio ipo.
Watoto tangu zamani walikuwa hawarusiwi kuhudhuria maharusini usiku wala kucheza sema Tz kunauzembe wa kusimamia sheria.Hujasikia waziri wajinsia na watoto akiuzungumzia huu ushubwada?hujasikia ulivyosababisha watoto wakatazwe kuhudhuria maharusini usiku?kwani hizo radio ndio unaziona zina akili timamu?mibange mitupu
Kwa hiyo we ndio Zuchu nikuache?Watoto tangu zamani walikuwa hawarusiwi kuhudhuria maharusini usiku wala kucheza sema Tz kunauzembe wa kusimamia sheria.
Mimi naongelea nyimbo ilivyopokelewa na inavyokubalika Kwa wapenda starehe na muziki na wasio na stress za maisha.
Zuchu kafanikiwa Kwa 100% kazi kwao wenye fikra za Msondo na Sikinde Ngoma.
Muziki kwasasa ni biashara msanii anaangalia soko lake linataka nini.
Wengine nendeni kwenye kwaya na kaswida na zilipendwa.
Huku mtuache
Mkuu labda umri wako sio rafiki kwa kusikiliza magoma Kama hayo Kama upo above 25 tafuta nyimbo zinazo-match na umri wako hizo za kina zuchu waachie watoto wa Chuo below 25Kwa hiyo we ndio Zuchu nikuache?
Diamond toka ajipate hajawahi kuborongaKwenye hili game la mziki huwezi kutoa ngoma kali na ikapendwa na watu wote kwa muda wote,kuna kipindi lazima utaboronga tu hata hao wasanii unaowakubali naamini pia wana ngoma za hovyo so ni kawaida tu kama vle kubet tu leo unachana na kesho unamkanda kanji
Wewe endelea na kwaya na kaswida na rafiki zako wakina Msondo na Sikinde Ngoma.Kwa hiyo we ndio Zuchu nikuache?
Ila bibie si umeona hiyo Ngoma ilivyohit? Binafsi nilikuwa siipendi Ila nimeikubali baadaeKwa hiyo we ndio Zuchu nikuache?
Support gani kwa mambo ya kishoga?Sio kila siku ni jumapili [emoji23][emoji23] hata kwenye kupika uwe fundi kiasi gani kuna siku unazingua !! Mpeni support mtanzania mwenzenu !!!
Ushoga uko wapi mkuu ? Mbona hakuna sehemu tulipouzungumzia ?Support gani kwa mambo ya kishoga?