Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

Kwa hiyo ww unawakilisha mtizamo wa jamii nzima?au kuna sehemu nimekulazimisha uupende.

Hii ni Celebrity Forum, umemzungumzia Zuchu kama Public Figure, so nimetoa mawazo yangu binafsi.

Na haibadilishi mtizamo wako binafsi/chuki sio wa jamii nzima,husicho kipenda ww kuna wengine wata kikimbilia.

Ila kama hii thread ulimwandikia Zuchu ni vyema ungemtumia kwenye acc zake binafsi za Social network, as long umeweka humu JF tegemea + na vilevile - comments,sababu JF ni jukwaa la jamii nzima,kutoa mitizamo pindi mada iletapo.

Uzuri huwaga sipendi kutukana wanawake JF japo lugha uliyo itumia sikuipenda,ila bado na kuheshim.
Una uhakika huyu jamaa ni mwanamke ?
 
Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo.

Hivyo tu.

Honey🤣🤣🤣🤣🤣
Kwenye music industry muziki wa hovyo ndio hifanya vizuri zaidi.
Lengo la wanamuziki ni kuteka soko jua hilo " honey" 😂😂
 
Honey🤣🤣🤣🤣🤣
Kwenye music industry muziki wa hovyo ndio hifanya vizuri zaidi.
Lengo la wanamuziki ni kuteka soko jua hilo " honey" 😂😂
Yes I know....ila hiyo honeyyyyy imenikera tu basi...😅
 
Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo.

Hivyo tu.

Mbona ka wimbo kazuri sana, kama haupo serious... ila kama upo serious sana hauto ona kama mzuri
 
Back
Top Bottom