Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Hovyo kabisa🚮😂🤔🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyo kabisa🚮😂🤔🤔🤔🤔
[emoji23][emoji23]Mm nasubr niusikie Kwa mtu sitaki kumuongezea viewers yutubu
bro bila makeup nina uhakika ni mbaya kama ukuta
just saying[emoji28]
siwafagilii hata mmoja, mi niko na tems kutoka nigeria😅Bongofleva demu gani mzuri nila make up? Maua Sama? [emoji28] Mwasiti? Nandy? Au?
Duuh aseee 😅😅😅nyimbo za kina mshamba_hachekwi mashostito😆
najua umeipenda bana😆Duuh aseee 😅😅😅
😅😅😅 Ana matako madogo lakini.nampenda @Darlin 😆
🤣🤣🤣 Aiseee. Pambania kombe tu.mzuri anatazamika😅
Hao ndio wabongo wanalazimisha mawazo yao binafsi ya fanane na wengine unaweza ukakuta husicho kipenda ww wenzio wana kikimbilia.
Ila uzuri mziki wa siku hizi kama kitu kizuri utakiona kwenye views na hasa streaming kwenye digital platforms kwani huko ndipo kwenye ukweli.So hizo nyingine zinaweza kuwa chuki au mitizamo yako binafsi.
Labda kama unataka ligi, ila views na streaming ktk digital platforms huko US ni moja ya vigezo vinavyo tumika kupanga chart za bilboard.Sio kweli views na streams zinatokana na wangapi wameuangalia na kuustreams regardless wameupenda au hawajaupenda.
Mara nyingi views zinatokana na msanii akishakua na jina afu maarufu katoa wimbo hapo watu watakimbilia youtube kuona nini kimejiri, ndo wanakutana na uhalisia kuwa wimbo ni mbovu kuliko kick na promo inazopewa, views sio kipimo cha walioupenda wimbo bali wanaotaka kushangaa ni wimbo wa aina gani?
Don't take it personal mamiziki yenu ya kisasa hata siangalii wala kusikiliza labda nikutane nao kwa lazima club, mi nafuatilia zilipendwa 90s mwisho early 20s
We chawa wa zuchu unawashwa matackle nini?Labda kama unataka ligi, ila views na streaming ktk digital platforms huko US ni moja ya vigezo vinavyo tumika kupanga chart za bilboard.
Halafu ww unafuatilia nyimbo za 90s na 20s,sasa umejuaje kama nyimbo mbovu? Umejuaje kaufanyia promo?
Acha kujishtukia sijui unasikiliza miziki ya 90s,20s hili ni jukwaa huru,kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake,japo maoni yako binafsi sometimes yanaweza kutofautiana na wengi.So una haki ya kuseme hii nyimbo mbovu na wengine walio wengi nao wanahaki ya kusema hii nyimbo nzuri.