Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Kweli nadhani umri wangu umenitupa mkono....Huo wimbo umenivuruga tu ubongoMimi naamini wasanii wana sensa ya Watanzania wote hasa WASAFI ki ukweli great thinker wa wasafi nimempaga nyota zake 5.
Huu wimbo mtu mwenye akili zako timamu huwezi usikiliza ukaumaliza,lakini Unafikiri kwanini wameruhusu ukatoka audio mpka video?
washajua sensa WABONGO wengi akili zao kwenye mziki zinataka vitu vya namna hii hasa vijana,wadada, huu wimbo ki tik tok tik tok utaenda mbali sana maana una vimaneno vya ku tik totika tu..
Ukiona wimbo haukufit naamini Umri wako si haba, mtu mzima unaewaza kodi,ada,biashara,mishahara,bado wewe hujajiweka,ukisikiliza huu wimbo sekunde 30,Nadhani utafika mbali uangaliwe zaidi una kitu ndani yako kikubwa mno...
Uchambuzi mzuri.Hii issue ya umri inavyotumika kuhalalisha upuuzi mwingi uliopo kwenye music & media industry 😩😩
Cha kushangaza kwenye bongo series kama juakali, hakuna mtu anaesema kuwa hizi series ni za vijana na sio wazee yet zinafanikiwa.
Tukubaliane, muziki wa bongo ni pure biashara na kwa sasa bubble gum music inayoweza kutrend kwenye social media ndio inayouza. Wasafi wanalijua hili ndio maana wanawapa watu kitu wanachoona kinawafaa ila haimaanishi hawawezi tengeneza muziki watakaoweza kuuza globally kuliko kuwa copy cats wa naija na SA.. Kama uliiona show ya Zuchu Afrimma, utakubaliana nami kuwa copy zake za genre zote hazikuweza leta amsha amsha hadi alipoimba singeri ya nyumba ndogo, you see!!!...
Nadhani Wasafi kiufupi wainvest kwenye kutengeneza original sound na hapa ndipo Diamond ataweza acha legacy ya ukweli maana hadi sasa... Yeye ni commercial artist ila musical influence kwa bongo genre ni almost sifuri na hii sio sifa ya legends wakubwa duniani
Shukrani 🙏🏽🙏🏽Uchambuzi mzuri.
Hako kadada sikapendi kwakweli
Kha jamanii,Kwa u comedy gani?
Hahaha Honeeeeeeeeeey,Halafu Huwezi amini Sijawahi kumchukia yule dada,basi tu yaani honeeeeeeeey imenikera[emoji16]