Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji75][emoji75]bro bila makeup nina uhakika ni mbaya kama ukuta
just saying[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji75][emoji75]bro bila makeup nina uhakika ni mbaya kama ukuta
just saying[emoji28]
vipi[emoji75][emoji75]
Kabisa. Vijana wanaleta nyimbo zisizo na maadili.Ubunifu umekuwa changamoto
Hahaha, nimependa hapa"ana kitu atafika mbali"Mimi naamini wasanii wana sensa ya Watanzania wote hasa WASAFI ki ukweli great thinker wa wasafi nimempaga nyota zake 5.
Huu wimbo mtu mwenye akili zako timamu huwezi usikiliza ukaumaliza,lakini Unafikiri kwanini wameruhusu ukatoka audio mpka video?
washajua sensa WABONGO wengi akili zao kwenye mziki zinataka vitu vya namna hii hasa vijana,wadada, huu wimbo ki tik tok tik tok utaenda mbali sana maana una vimaneno vya ku tik totika tu..
Ukiona wimbo haukufit naamini Umri wako si haba, mtu mzima unaewaza kodi,ada,biashara,mishahara,bado wewe hujajiweka,ukisikiliza huu wimbo sekunde 30,Nadhani utafika mbali uangaliwe zaidi una kitu ndani yako kikubwa mno...
Yaani nimeusikiliza ikabidi niuchek u tube video yake nikasema huyu ndio alishindanishwa na Burns boy Kweli?[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Naunga mkono hoja.Huyu dada sina hata wimbo wake mmoja ninaoupenda. Sema ndio vile watu tunatofautiana kibaya kwangu kwa mwingine kizuri.
Shida Watanzania tunaangalia ya mbele mwisho wa pua zetu, haya viewers YouTube ni wengi then what?Darling, Imagine!
Yule Ayra labda angepambanishwa na V money, tatizo V kaibiwa moyo na Rotimi.
Mimi naamini wasanii wana sensa ya Watanzania wote hasa WASAFI ki ukweli great thinker wa wasafi nimempaga nyota zake 5.
Huu wimbo mtu mwenye akili zako timamu huwezi usikiliza ukaumaliza,lakini Unafikiri kwanini wameruhusu ukatoka audio mpka video?
washajua sensa WABONGO wengi akili zao kwenye mziki zinataka vitu vya namna hii hasa vijana,wadada, huu wimbo ki tik tok tik tok utaenda mbali sana maana una vimaneno vya ku tik totika tu..
Ukiona wimbo haukufit naamini Umri wako si haba, mtu mzima unaewaza kodi,ada,biashara,mishahara,bado wewe hujajiweka,ukisikiliza huu wimbo sekunde 30,Nadhani utafika mbali uangaliwe zaidi una kitu ndani yako kikubwa mno...
kazingua aiseee😂😂😂View attachment 2701385
Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo.
Hivyo tu.
Classmate kazingua😂😂👍X wangu katoa wimbo mbaya sana
Ujinga unapendwa na watu wajinga wajinga welevu hukaa pembeni, km umejigundua wewe sio wa hovyo hongerawabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo