Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

YANI WAMAKONDE WANNE NDO WANATAKA JAMII NZIMA IAMINI WIMBO MBAYA

TATIZO WANAZEEKA NA BADO WANATAKA NYIMBK ZA VIJANA
Acha kukurupuka aseee....Mbona Konde anawanyima Raha sana watu,mi namuongwlea Zuchu mnamwingiza mmakonde wa watu...Sikiliza mwenzio akili yangu haimsujudii mtu,Konde akitoa wimbo mzuri nimo,Zuchu, Diamond,Kiba ,Marioo, yeyote atayetoa wimbo mzuri naupenda ,akizingua siupendi......Mimi nampenda zangu J Melody nyie na matimu yenu mtajiju
 
Kwa hiyo ww unawakilisha mtizamo wa jamii nzima?au kuna sehemu nimekulazimisha uupende.

Hii ni Celebrity Forum, umemzungumzia Zuchu kama Public Figure, so nimetoa mawazo yangu binafsi.

Na haibadilishi mtizamo wako binafsi/chuki sio wa jamii nzima,husicho kipenda ww kuna wengine wata kikimbilia.

Ila kama hii thread ulimwandikia Zuchu ni vyema ungemtumia kwenye acc zake binafsi za Social network, as long umeweka humu JF tegemea + na vilevile - comments,sababu JF ni jukwaa la jamii nzima,kutoa mitizamo pindi mada iletapo.

Uzuri huwaga sipendi kutukana wanawake JF japo lugha uliyo itumia sikuipenda,ila bado na kuheshim.
Sina mood ya kubishana na mtu,...Wimbo sijaupenda,pita hivi👉👉👉👉
 
Sina mood ya kubishana na mtu,...Wimbo sijaupenda,pita hivi👉👉👉👉
Kuto upenda wimbo ni uhuru wako binafsi wa kutoa maoni umeutumia,kama watakavyo utumia wengineo wengi kuukubali,kustream na kuviews.

Uzuri JF sio mali yako binafsi, bado nipo sana sehemu zote mpaka kwenye hii thread nimeweka kituo.
 
Utajua mwenyewe unayechukulia maisha serious utasema unakula kwa Zuchu,,,weka hapa kituo,au usiweke I have nothing to loose
 
Kwenye hili game la mziki huwezi kutoa ngoma kali na ikapendwa na watu wote kwa muda wote,kuna kipindi lazima utaboronga tu hata hao wasanii unaowakubali naamini pia wana ngoma za hovyo so ni kawaida tu kama vle kubet tu leo unachana na kesho unamkanda kanji
Hata yeye nampenda sana,ila wimbo huu kanichanganyia sukari na chumvi😥
 
Utajua mwenyewe unayechukulia maisha serious utasema unakula kwa Zuchu,,,weka hapa kituo,au usiweke I have nothing to loose
Still huo unabaki kuwa ni mtizamo wako, mimi JF napatimua kama sehemu ya kupoteza mda,kujifunza na kujiburudisha na ndio maana hata hii thread yako ni sehemu tu ya burudani.
 
Back
Top Bottom