Tetesi: Zuhra Yunus ndiye Mkurugenzi mpya wa Azam TV

Mzee wa mbwebwe wa kubinya jicho moja hakula hii kitu kwel maana baada ya habar alipenda kusogelea
 
Vizuri Azam kumchukua huyu mama atawasaidia sana kuikuza sekta ya Habari pale Azam media
 
Mkurugenzi wa Azam media ni Thido Mhando.
 
Daah! Hongera dada zuhra yunus wa(BBC SWAHILI) naona ndo umeamua kula shavu kwa bwana bakhresa japo hata mimi sijapenda uamuzi aliouchukua but all in all kila mtu anaangalia maslahi yake huwezi mpangia huyu na salum kikeke hakika wanajua.
 
Nimesoma coment zote sijaona mtu wa kumuelewesha mtoa mada

Iv Chaz hilary alikuwa mkurugenz?[emoji23] Mm navyofaham Mkurugenz wa Azam ni Tido Mhando
Navyojua Chalz Hirary hakuwa mkurugenz
Ulitakiwa uandike ninavyojua chazi alikua ni ........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…