Tetesi: Zuhra Yunus ndiye Mkurugenzi mpya wa Azam TV

Tetesi: Zuhra Yunus ndiye Mkurugenzi mpya wa Azam TV

Yaani nitoke BBC niende Azam????


Huo ni zaidi ya upumbavu
Wewe utakuwa mwehu. Nani amekwambia utoke BBC uje Azam. Zuhura kaona inafaa, wewe baki huko huko kama utakuja pata fursa kama hiyo maishani mwako.
 
Na Watanzania gani wanaenda kushika huko kuliko achwa. Ni kama mnataka kuwaachia Wakenya hivi.
 
ITV Mchukueni zuhra atawapaisha sana tatizo lenu hamna mikakati nyie mnaishi na Mipango ile ile ya Mkiti...
Ni kweli itv kama hawana future vile.
Azam wanajua sana kutafuta wanahabari wazuri hata kwenye timu yao ya Mpira wangekuwa wanafanya hivi basi timu yao ingekuwa noma sana
Biashara na mpira huwa ni mbalimbali.
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Back
Top Bottom