Tetesi: Zuhra Yunus ndiye Mkurugenzi mpya wa Azam TV

Yaani nitoke BBC niende Azam????


Huo ni zaidi ya upumbavu
Wewe utakuwa mwehu. Nani amekwambia utoke BBC uje Azam. Zuhura kaona inafaa, wewe baki huko huko kama utakuja pata fursa kama hiyo maishani mwako.
 
Na Watanzania gani wanaenda kushika huko kuliko achwa. Ni kama mnataka kuwaachia Wakenya hivi.
 
ITV Mchukueni zuhra atawapaisha sana tatizo lenu hamna mikakati nyie mnaishi na Mipango ile ile ya Mkiti...
Ni kweli itv kama hawana future vile.
Azam wanajua sana kutafuta wanahabari wazuri hata kwenye timu yao ya Mpira wangekuwa wanafanya hivi basi timu yao ingekuwa noma sana
Biashara na mpira huwa ni mbalimbali.
 
Kwani ujui lesbian ni watu gani
Acheni matusi jamani huyu Mama hana hyo michezo ni mama mwenye Stara yake nimefanikiwa kumfahamu kwa ujirani kwa muda mrefu nikiwa hapa London
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…